Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli hiyo niishuhudia huko kwetu hahahahhMi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata[emoji1]