Wahenga mpooooo

Jaman ungenitag huu mchezo huu wa fukufuku umenikumbusha mbali kuna siku nilichukua ndulele nikaweka nikafunga kamba wewe mtoto nikawa na tutiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
 
Bila kusahau NYANGE NYANGE NIPE KUCHA NYEUPEEEEEE!!
 


Huyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] fukufuku alifanya yake na dushe limekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…