Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
30492c466fb595c7dbc648a719060eb1.jpg

Watoto wa siku hizi waemkulia ndani ya Perving Blocks na Tiles sidhani kama wanawajua FUKUFUKU.
 
[emoji1] [emoji1] watoto wa siku hizi watajulia wapi michezo wakati wanachezea laptop na midori inayoongea[emoji1]
Sie tulichezea udongo,na mwanasesere wa vitambaa na makaratasi
Niliangaika sana kukutafutia fukufuku kipindi kile nahisi ni wakati mubashara nijionee wale fukufuku walikuwa real au wa kichina.
 
Back
Top Bottom