Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
HahahhahaaHa ha ha ha atantukana matus yte ya hii dunia
Huna nia njema na mmHahahhahaa
Ndo lengo languHuna nia njema na mm
Shemej una wivu hatar sanaNdo lengo langu
Eeeh. Mi dushe bwana nataka nile mwenyewe.Shemej una wivu hatar sana
Lin ijeEeeh. Mi dushe bwana nataka nile mwenyewe.
Sasa hiviLin ije
Hata kwa bahat mbaya huwez kua ndan SA hvSasa hivi
Niko ndani jamani. Weekend ya pili hii nakaa ndani tu.Hata kwa bahat mbaya huwez kua ndan SA hv
Yamekukuta yap tenaNiko ndani jamani. Weekend ya pili hii nakaa ndani tu.
Vyuma shem bby. Kampani nayo inasema hakusomeki basi tunakaa tu ndani.Yamekukuta yap tena
Oooh pole sana ngoja ntakutafuta nkuletee gilisi kama kampan yangu itaruhusiwaVyuma shem bby. Kampani nayo inasema hakusomeki basi tunakaa tu ndani.
Nitashukuru sana.Oooh pole sana ngoja ntakutafuta nkuletee gilisi kama kampan yangu itaruhusiwa
Niliangaika sana kukutafutia fukufuku kipindi kile nahisi ni wakati mubashara nijionee wale fukufuku walikuwa real au wa kichina.[emoji1] [emoji1] watoto wa siku hizi watajulia wapi michezo wakati wanachezea laptop na midori inayoongea[emoji1]
Sie tulichezea udongo,na mwanasesere wa vitambaa na makaratasi
Uchokoz hui Mkuu, hizo red zina maana gan sasa
Teh
We cheka unataka unifunike nayo usoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]