[emoji3][emoji3]Umenikumbusha kipichi hicho kulikuwa hakuna skintight mlikuwa mnavaa vibukta vya Kaki kama askari wa kikoloni , Masister zangu walikuwa wehu zaidi mana walikuwa wanatamani hadi makalio ya kue makubwa kwahiyo walikuwa wakiwang'atisha hadi makalioni ... Kweli watoto wakike huwaga wajanja mapema sana
Ahahhahah unatamani urudi kuwa mtotoHahahaahaha
Kweli zamani kulikuwa ni kutamu sana
Yaani Shunie umenikumbusha mbali sana
Kipindi hicho mnachecha kibaba na mama alafu unamwekea mwanamke wako maziwa yawe makubwa then unamtengenezea mdoli wa matambara na unaweka manyonyo ili mama (yaani mkeo)amnyonyeshe
Chini umevaa chachacha na chupi ya baba iliyoisha unashonewa na sindano hahahahahaaaaaaa
hahahaahaNahisi wale waimba Taarab walikuwa wanaweka wengiwengi.
Ndiyo maana nasema ni saizi yanguMe ni muhenga wa wahenga
nilitekwa chumbaniJaman halaf ulipotelea wapi we mtu
kwa nini mkuu ? , !! aliniteka chumban nmtengenezee kitandaUmwambie akuachie achie asikuteke sana
Chumbani [emoji125] [emoji125]Saizi yako ya wapi