Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Umenikumbusha kipichi hicho kulikuwa hakuna skintight mlikuwa mnavaa vibukta vya Kaki kama askari wa kikoloni , Masister zangu walikuwa wehu zaidi mana walikuwa wanatamani hadi makalio ya kue makubwa kwahiyo walikuwa wakiwang'atisha hadi makalioni ... Kweli watoto wakike huwaga wajanja mapema sana
[emoji3][emoji3]
 
[emoji1] [emoji1] watoto wa siku hizi watajulia wapi michezo wakati wanachezea laptop na midori inayoongea[emoji1]
Sie tulichezea udongo,na mwanasesere wa vitambaa na makaratasi
Ahahhaha hawafaidi kabisa utoto wao
 
Hahahaahaha
Kweli zamani kulikuwa ni kutamu sana
Yaani Shunie umenikumbusha mbali sana
Kipindi hicho mnachecha kibaba na mama alafu unamwekea mwanamke wako maziwa yawe makubwa then unamtengenezea mdoli wa matambara na unaweka manyonyo ili mama (yaani mkeo)amnyonyeshe
Chini umevaa chachacha na chupi ya baba iliyoisha unashonewa na sindano hahahahahaaaaaaa
Ahahhahah unatamani urudi kuwa mtoto
 
na enzi hizo bint anatoka home kwenda teka maji mtoni kava chingolingoli sio hawa wa kuoga kwenye beseni
 
na enzi hizo bint anatoka home kwenda teka maji mtoni kava chingolingoli sio hawa wa kuoga kwenye beseni
Mkuu umeniacha kwenye mataa chingolingoli ndio nini tena
 
Mhhh,umewaza nn na mada yako ya fuku fuku,long sana miaka ya 80+ kule home tunawaita " nyasinde"
 
Back
Top Bottom