Wahenga mpooooo

Hahahahaa! Aisee umenikumbusha mbali, kipindi nipo mdogo hizo mambo nimezifanya sana.
Nakumbuka tulikuwa twapiga piga Pembeni ya kishimo huku twaimba wimbo wa kumtoa huyo mdudu (atoke ampokee mgeni)
Na kweli baada ya muda anatoka [emoji2] [emoji2]
 
Wale weusi wanakaa.kwenye mto wanapiga chenga daah umenikumbusha mbali sana.Tukiwa wadogo tulikuwa tunawashika tunawaweka kwenue.chuchu wanauma hao hatari.Wasichana walikuwa wanataka chuchu zao.zichomoze sisi wavulana tulikuwa tunafuata mkumbo.
 
Tulimwitaga 'pambakuku', nikikumbuka hadi raha. Ule ulikuwa utoto wa kweli, sio watoto wa siku hizi, utandawazi umewapora utoto wao, wanakomazwa wakingali wachanga
 
Ahahahha muhengaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…