Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yalikuwa stress free sio ya sasa hiviAhahhahah unatamani urudi kuwa mtoto
Ndiyo mkuu mie si binadamu[emoji15][emoji15][emoji15] wewe huyo
Ngabu anataka kwenye le mutindizi mkubwa kubwa
Basi mhenga mwenzangu nasubiri huruma yakoKhaaa jaman kwani nimesema we sio binadamu
Hapana mkuu weka picha hapa hapa tushuhudie wengi
Unalo kubwa eeeh? Ugonjwa wangu huo.
Wale weusi wanakaa.kwenye mto wanapiga chenga daah umenikumbusha mbali sana.Tukiwa wadogo tulikuwa tunawashika tunawaweka kwenue.chuchu wanauma hao hatari.Wasichana walikuwa wanataka chuchu zao.zichomoze sisi wavulana tulikuwa tunafuata mkumbo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe
Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
Kweli. Likiwa kubwa matumizi zero linakua mzigo tuSuala si ukubwa tu mshikaji, inabidi ujuwe namna ya kulitumia dushe lako pia. Sie watalii (watu wa kusini) tunafuundishwa haya toka jandoni na ndiyo maana tunaujuwa mchezo vizuri.
Tulimwitaga 'pambakuku', nikikumbuka hadi raha. Ule ulikuwa utoto wa kweli, sio watoto wa siku hizi, utandawazi umewapora utoto wao, wanakomazwa wakingali wachangaHivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
Ahahahha muhengaaaaHahahahaa! Aisee umenikumbusha mbali, kipindi nipo mdogo hizo mambo nimezifanya sana.
Nakumbuka tulikuwa twapiga piga Pembeni ya kishimo huku twaimba wimbo wa kumtoa huyo mdudu (atoke ampokee mgeni)
Na kweli baada ya muda anatoka [emoji2] [emoji2]