[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa sina babu!![emoji124]Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....
Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..
Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.
Noma saana.
Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
Lol ngoja nikimbie[emoji125]We utakuwa sio muhenga jaman
ili majola ziweje??[emoji2] [emoji2] [emoji87] [emoji87]mimi nilikuwa nawaweka pale pengine
teh teh
walinidanganya aiseee
usiniulize pengine wapi maana wewe ni shem
Itabidi maana hakuna namnaNdio unakimbilia uhengani eenh