Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Tulimwitaga 'pambakuku', nikikumbuka hadi raha. Ule ulikuwa utoto wa kweli, sio watoto wa siku hizi, utandawazi umewapora utoto wao, wanakomazwa wakingali wachanga
Asanteeee
 
Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....

Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..

Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.

Noma saana.

Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa sina babu!![emoji124]
 
Madem wengine walikua wanawaekaga kwenye matako ili yawe makubwa kama joisi wowowo[emoji23][emoji23]
 
mimi nilikuwa nawaweka pale pengine

teh teh
walinidanganya aiseee

usiniulize pengine wapi maana wewe ni shem
ili majola ziweje??[emoji2] [emoji2] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom