Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Mwambie akuje tu aniwekee fukufuku na vile wanavyong'ata lakini le super mtindiz utazidi kukua jaman zaidi ya hapa
Hivi hawaongezi six packs.... vyuma vimenishinda.
 
Hawa ni fukufuku zamani tulikua tunawaimbia huku tunapiga kama kofi karibu na kishimo chao "Fukufuku tokaa nitakupa mbalamwezi" Utoto raha sana.😀😀
Sawa sawa na mpaka wanatoka
 
Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....

Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..

Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.

Noma saana.

Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
Si utoe ushuhuda kwa niaba ya wenzio sasa
 
Back
Top Bottom