Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Kweli wahenga enzi zetu ilikua burudani...

Shunie na ile ya kupiga matiti na mwiko yanapoanza kuota eti ili yasiwe makubwa unakumbuka?
Ahahhah naikumbuka kuna mdada kaikumbusha hapo hivi na ile ukiona albino unajitemea mate kifuani eti ukikua usije kuzaa na wewe
 
Teh... umesoma mwaka gani sanawari?

Kumbe nyie ndiyo mlikuwa mnafundisha klaree kucheza pale mtoni eeeh hadi anachelewa kurudi nyumbani?
Hawa wa wadudu wa mtoni nahisi mikoani ndio wanapatikana kwa wingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fuku fuku kiboko hao wa mtoni sijawahi waona yaan fuku fuku wa kwenye nyumba nikitoka tu nje nakuta wameshafukua naanza sasa kuimba na kuwaweka kwenye nyonyo uking'atwa unajisikia raha unaona nyonyo litakuwa

Watoto wa sasa hivi kweli hawafahidi michezo
Na sa hivi bado unayahitaji matiti makubwa?
 
Watu wanaangaika kutafuta vumbi la mkongo kuondoa bamia ... kwanini wasimtumie mdudu huyo aliyefanya vizuri na kutoa majibu kwa kukuza matiti ya wadada wa zamani (kamanyola) ili waondoe tatizo sugu la vibamia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
haha aseeh shunie sasa kakua tafuta pa kuzichimba urudie enzi.
Mwambie akuje tu aniwekee fukufuku na vile wanavyong'ata lakini le super mtindiz utazidi kukua jaman zaidi ya hapa
 
Hao wa mtoni minah wanafanaje me siwajui halaf minah we ni wa kishua ndio mana huwajui
Yeeesu rua!
Wakishua ? Hapana
Naic kama Kuna baadhi ya vitu havipo kila mahali ndo maana cwajui na Wewe pia chora baruaaa hawajui

Niwadudu weuc ivi wanakuaga Mara nyingi mtoni

Wanavyopita umo kwenye maji wanakua kama wanachora
 
Hawa ni fukufuku zamani tulikua tunawaimbia huku tunapiga kama kofi karibu na kishimo chao "Fukufuku tokaa nitakupa mbalamwezi" Utoto raha sana.😀😀
 
Kucheza mtoni raha jaman
Wakati wa likizo tukienda zamu shule ,Tulikuwa tunavua uniform tunafua ,wakati tunasubir zikauke tunajiekea wadudu Sasa

Bwy.. Nilimaliza 2006

Oouh..... kumbe juzi hapo.
sema maji ya hapo siku hizi machafu saana.
 
Yeeesu rua!
Wakishua ? Hapana
Naic kama Kuna baadhi ya vitu havipo kila mahali ndo maana cwajui na Wewe pia chora baruaaa hawajui

Niwadudu weuc ivi wanakuaga Mara nyingi mtoni

Wanavyopita umo kwenye maji wanakua kama wanachora
Nahisi hao wanapatikana sana mikoani kwenye mito mingi
 
Back
Top Bottom