Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Mafuta ya taa uanawekaje mkuu mbona sioni tankKiberiti cha mafuta ya taa
Nimewahi kutumia hicho mi zamani sana, unamwaga mafuta ya taa kwenye hiyo pamba hadi inalowanaMafuta ya taa uanawekaje mkuu mbona sioni tank
Kiberiti
Sio! kuna kitu tulikuwa tunakiita betri, ukipiga kinatoa sparks kisha pamba /utambi uliowekewa mafuta ya taa inawaka!kiberiti cha gesi
Usikatae.kiberiti cha gas.Sio! kuna kitu tulikuwa tunakiita betri, ukipiga kinatoa sparks kisha pamba /utambi uliowekewa mafuta ya taa inawaka!
Hiyo ni kibiriti, unaweka mafuta yake sio ya taa kwani ya taa yana harufu kali na utabaki nikia tuu kila uendapo.