Wahenga naomba jina la hicho kifaa?

Wahenga naomba jina la hicho kifaa?

Kiberiti kilikuwa kinatumia mafuta ya taa na kijiwe fulani hivi kilikuwa na uwezo wa kukaa nacho katika matumizi hata miaka kumi ukiwa mtunzaji mzuri. Hapo ulitakiwa kununua kijiwe fulani chenye mfumo wa mlipuko wa baruti na tambi km ya jiko au mikoa wanayolima Pamba ni Pamba au Kipande cha nguo km tambi unalowanisha na mafuta ya taa ukilipua kinawaka. Kilikuwa kikiharibika unaweza kupeleka kwa fundi kukitengeneza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunakiita "kiberiti cha chuma". ili kiwake, unanunua mafuta ya taa na kuyaweka katika kitank ambacho kina utambi wa pamba. Halafu unanunua jiwe lenye ukubwa kama punje ya mchele. Unaliwe mahali maalum, ambapo ukiwasha kwa kuzungusha kigurudumu, linakwaruza hicho kijiwe na kutoa cheche zinazowasha utambi wenye mafuta. Kuzima unafunika utambi na moto unazimika. Kilikuwa maarufu kwa wavuta sigara. Enzi hizo, sportsman, nyota, na baadaye safari. Taarifa tu kwa ufupi.

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Asante mhenga

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kiberiti cha chuma

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
nakumbuka babu yangu marehem alikuwa nacho mpka mwaka 1998 unaweka mafuta ya taa kwenye kautambi na kabetr kama kipunje cha mchele
 
Hiyo ni Lighter, kuna nyingine inakuwa na liquid ndani inaoneka.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom