chiumbimnungu
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 151
- 217
Kiberiti kilikuwa kinatumia mafuta ya taa na kijiwe fulani hivi kilikuwa na uwezo wa kukaa nacho katika matumizi hata miaka kumi ukiwa mtunzaji mzuri. Hapo ulitakiwa kununua kijiwe fulani chenye mfumo wa mlipuko wa baruti na tambi km ya jiko au mikoa wanayolima Pamba ni Pamba au Kipande cha nguo km tambi unalowanisha na mafuta ya taa ukilipua kinawaka. Kilikuwa kikiharibika unaweza kupeleka kwa fundi kukitengeneza
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app