Wahenga naomba jina la hicho kifaa?

Wahenga naomba jina la hicho kifaa?

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,888
Reaction score
3,352
19702379_794774154034650_7096034422562605905_n.jpg
 
Tuliita kiberiti cha gas. Japo kilitumia mafuta ya taa
 
Kiberiti cha mafuta ya taa. Baba angu alikuwa ana kimiliki then kuna roller ambayo ukizungusha unaweka kijiwe maalumu kwa kutoa Sparks ambacho huwa kinaisha. Mafuta ya taa unaweka kwenye utampi kwa chini na yananyonywa.
 
kabla utaalamu wa gesi haujashika kasi hicho kiberiti ndio kilikuwa kikitumika kina utambi na unaweka mafuta ya taa
 
Back
Top Bottom