chiumbimnungu
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 151
- 217
Asante mhengaTulikuwa tunakiita "kiberiti cha chuma". ili kiwake, unanunua mafuta ya taa na kuyaweka katika kitank ambacho kina utambi wa pamba. Halafu unanunua jiwe lenye ukubwa kama punje ya mchele. Unaliwe mahali maalum, ambapo ukiwasha kwa kuzungusha kigurudumu, linakwaruza hicho kijiwe na kutoa cheche zinazowasha utambi wenye mafuta. Kuzima unafunika utambi na moto unazimika. Kilikuwa maarufu kwa wavuta sigara. Enzi hizo, sportsman, nyota, na baadaye safari. Taarifa tu kwa ufupi.
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Cha kerosenekiberiti cha gesi
shikamoo muhengaNimewahi kutumia hicho mi zamani sana, unamwaga mafuta ya taa kwenye hiyo pamba hadi inalowana
Marhaba miss! We sio muhenga?shikamoo muhenga
mimi muhenga ila sijafikia kiwango chako mkuuMarhaba miss! We sio muhenga?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Basi mkuu endelea kudevelop taratibu miaka kadhaa ijayo utakuwa muhenga mbobezimimi muhenga ila sijafikia kiwango chako mkuu
Naam!Gas lighter