Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi


Kuheshimiana na kujua mipaka Nimechukua point mkuu. Shukran
 
Hivi mliwezaje kukaa na mwanamke mmoja tu miaka 35+?

Katika jambo wahenga mlizingua ni hili

Sijawaelewa
Unafikiri mke ni nguo ya kubadili Kila ikichafuka?.
Mke mwema ni sehemu ya maisha ya Kila mwanaume mwenye akili timilifu.
 
Point nyingine mkuu
kumbe suluhisho ni wake wengi
Walikua wanaamini mke mmoja atakuringia sana, ila wakiwa wengi heshima, utii na utulivu utakuwepo, kila mmoja atajitahidi aonekani bora ya mwingine...
 
Nipo na wife mwaka wa 24 huu.

Ukitaka kuishi nao vizuri inabidi kwanza utimize majukumu yako vizuri na pia usimbane mwache ajiachie lakini mfanye ajue mistari gani asivuke katika huo uhuru.
Miaka 24 hongera mkuu. Kutimiza majukum na kumpa uhuru weny mipaka
 
ndoa itakusumbua sana kama unahisi mkeo ana akili timamu,...
 
nahc kipndikile kutongoza ilikuwa kipengele
yan inachukua long process
co kama xahv ukiguxa imo
 
Mkuu kama ndo hivi bora kutokuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…