Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Mimi nikikaa na demu siku moja tu nachoka, najiuliza hawa miaka 30 wanawezaje
 
Hakuna Mhenga alikuwa na Mke mmoja..Wahenga walikuwa na Nyumba zaidi ya tano na wote walishiba magimbi na kula nakusaza..walikuwa wanafanya kazi haswa
 
Una hoja nzuri sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…