Awamu ya kwanza kuanzia tarehe 9/12/1961 mpaka tarehe 4/2/1977 ilikuwa ni awamu iliyotukuka ukienda LUMUMBA pale unakutana na wasomi waliobobea katika nyanjabalimbali ,na wanamaandiko katika mtazamo wa kujenga taifa na ukiyasoma hofu ya maisha inapungua ,kwamfano tu maandiko yalivyokuwa yanaandikwa na wasomi pale Lumumba Konimbatizaji nenda kaangalie kitabu kinaitwa 1972 towards Uhuru ,ukisoma hicho kitabu sijui kama WEWE Joni ungekubali kuona vyama vya ushirika vinaliwa,benki YETU inauzwa shirika la Bomba linakufa ttcl posta vinabaki hohehae kiwanda Cha bia Sigara tanbond supaghee nk mnauza,kiwanda Cha caterpillar,oxygen nk vyote shaghalabagala ,maandiko hayo Lumumba yalitayarishwa na wasomi ninaowakumbuka
AMON NSEKELA
FUMBUKA
G MWAIKAMBO
yaani chama Cha TANU kilikuwa kinachukuwa watu waliobobea katika delta mbalimbali kutengeneza sera zake, Joni nikupe Siri hata Nyerere kuruhusu mtu binafsi kufungua Ile shule iliyosomwa pale iringa ya highland ilikuwa programu ya kundaa vijana kusimamia sEkta fedha katika mashirika ya umma ndio maana ilikuwa ukienda benk nic utakuta vijana highland kibao hii ilimhamasisha AMON NSEKELA kuwaletea chuo kikuu. Cha bank iringa ,Sasa Lumumba ya 5/2/1977