Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

Hahahaaaa....... Umenikumbusha Muunguja, John Mhagama, Cretus Luvinga, Brown nk....nk.

Yaani NBC ilikuwa full highlanders!!
Muunguja Bado yupo NMB mkwawa branch,na wote hao uliowataja ni vichwa kwelikweli, hata saa hii ukikutana nao ,shule ya highland sio mchezo enzi hizo hata mugabe Wa Zimbabwe alimruhusu yule headmaster sheki akafungue shule Zimbabwe baada ya kubonyezwa na mashushu wa zanu pf,SI uliokuwa unaona vijana wa kiasia tuliosoma nao wakirudi kwao wanaendesha makampuni makubwa bila hata ya KWENDA chuo Cha cbe nk mfano watoto wa asas ivory yule Mzee muuza njegere pale sabasaba,naipenda Awamu hiyo namkumbuka BEEF SAUSAGE aliyekuwa anatuuzia mapera ya pilipili pale getini yule bwana aliletwa na Nyerere mwaka 1976 alimtoa Kilimanjaro hotel kama Chef aje iringa kuanzisha viwanda vidogividogo vya sausage lakini nae akakumbana na zahama za 4/2/1977 akajibunia kuuza mapera ya pilipili pale highland
 
Tujikumbushe.

1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP

2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi

3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP

4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete

5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP

Maendeleo hayana vyama!
Ila awamu ya Samia inaenda sambamba na uwepo wa joto kali, sijawahi kuona
 
Kiukweli Siwezi kuisahau awamu ya nne katka maisha yangu! Biashara yangu ilikuwa inakwenda vizuri sana,kuanzia 2016 Mauzo yalipungua sana .na biashara ni halali kabisa..cha ajabu kuanzia july 2021 biashara hiyohiyo mauzo yamepanda tena japo sio kama ya awamu ya Nne..
 
Lazima uangalie Value for Money.....

Awamu ya kwanza vilivyofanyika na vilivyotoka / gharama ilikuwa ni kama unaweka shilingi unapata Tshs 10/=

Awamu ya Pili ndio wakaanza ufujaji yaani ni kama betting unaweka laki moja unaliwa na siku ukipata unapata elfu 50...

Yaani hawa mbuzi wanaokula kwa urefu wa kamba zao walianza kujinafasi awamu ya pili..., ni kama vile watu wenye njaa / walafi wakifika kwenye tafrija..., kutokea hapo ni mwendelezo tu....

In short tumeweza kuuza / kugawa nchi yetu kwa value ndogo sana na iwapo ugawaji huu ungeanzia enzi zile sasa hivi tungeshafika sijui wapi (msingi ulikuwa tuache kufuja mpaka tupate akili) lakini cha ajabu kumbe akili hatujapata bado na ufujaji umekuwa ukiendelea awamu baada ya awamu...
 
Awamu ya pili ndio msingi wa maendeleo ya leo

1) vision 2025 andiko lake lilianza 1994
2) Soko huria liliasisiwa 1992
3) Structural Adjustment Program (SAP) ni kazi ya Mzee Mwinyi kuachana na mfumo mfu wa ujamaa
4) fursa ya kurudishwa vyama vingi vya siasa na mabadiliko mengi ya kiuchumi yalikuwa wakati wa Mwinyi
5) Mchakato wa kupunguza wafanyakazi ili uwiano wa wafanyakazi na kazi wafanyazo ulingane na waliopo waweze kuboreshewa maslahi uliasisiwa 1993-95
6) Uhuru wa kujieleza na kukosoa ukatamalaki
7) Mapambano dhidi ya rushwa hadi kufikia kufukuza baraza lote la mawaziri kwa kuthiri kwa rushwa hapo Jan 1990
8)kuanzisha mchakato wa kuachana na Idara ya kodi na kuanzisha Mamlaka ya kodi ulianza wakati wa Mwinyi na kuzinduliwa 1996 muda mchache baada ya Mkapa kuwa Rais
9) kulizika Azimio la kishamba la Arusha
10) Uchumi kuchangamka na Rais kuanza kujenga na kufunga sana kwa shughuli binafsi
Hii Awamu iliifungua sana nchi. Ndio msingi wa Tanzania ya sasa kiuchumi na kisiasa.
 
Hahahaaaa........ Navalonge Swela Layland victory ilikuwa haina mpinzani.
Kabisa mkuu Ile CD ilikua ni moto mkali, zile Scania zingine zikitangulia mwisho wake pale ilipokua comfort hotel, Navalonge swela ikitangulia pale....tuonane station (mnazi mmoja),Ile CD Inapoanza kushusha Ile Ilala Kuja makanyagio (mkwawa cne)sisi pale chuoni ni mziki mtupu has tuliokaa shabaan Robert west..
 
Awamu ya Tano iliyoanza na hayati Jembe, JPM na kuendelezwa na aliyepo ingawa amepungua saaana tens sana!
Awamu ya 5 iluturudisha nyuma sana. Na kama isingekuwa Mungu kuingilia kati tungekuwa Zimbabwe ya pili by mwaka 2023
 
16454615872191.jpg
 
Tujikumbushe.

1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP

2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi

3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP

4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete

5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP

Maendeleo hayana vyama!
Kila awamu naikubali, kwani kila rais anakuwa na nia njema kwa wale anaowaongoza. Wakatoliki watatu wameshatangulia mbele za haki, waislamu wawili wanakula maisha uzeeni, samahani lakini nje ya mada nimechomekea tu.
 
Tujikumbushe.

1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP

2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi

3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP

4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete

5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP

Maendeleo hayana vyama!
Kwa mlolongo huu inaonyesha Rais ajae baada ya Hangaya atakuwa mkristo na ata RIP aidha akiwa madarakani au baada ya kumaliza muhura wake. 🤔
 
Kabisa mkuu Ile CD ilikua ni moto mkali, zile Scania zingine zikitangulia mwisho wake pale ilipokua comfort hotel, Navalonge swela ikitangulia pale....tuonane station (mnazi mmoja),Ile CD Inapoanza kushusha Ile Ilala Kuja makanyagio (mkwawa cne)sisi pale chuoni ni mziki mtupu has tuliokaa shabaan Robert west..
Umenikumbusha mkwawa ,na makanyagio Kuna jamaa ananisimulia miaka Ile MAREHEMU JIWE akikosa Hela ya kunywea ulanzi anaemda kushinda pale kwenye studio ya kuuza Kanda ya MAREHEMU Ali Mbata
 
Back
Top Bottom