Kama utabatika kuonana naye mpe ongerailikuwa zamani sana nilishapotezana nae toka Enzi za klorokwini
Hahahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Itakuwa Sir Alex aliwahi kunywa hizo dawa. Ndio maana aliupenda huo mfumo4, 4, 2
Nadhani huu mfumo wa kucheza FOOTBALL waliugundua kutoka kwenye dozi hii
poa mkuuKama utabatika kuonana naye mpe ongera
We kweli saa mbovu [emoji1] [emoji1] [emoji1]4, 4, 2
Nadhani huu mfumo wa kucheza FOOTBALL waliugundua kutoka kwenye dozi hii
Hii kitu ni hatari sana, mimi kuna wakati ilikuwa nikioga maji ya baridi nawashwa sana ikabidi nianze kutumia ya motoMkuu hata mimi nilipata shida hii ambayo inaniathiri hadi leo hii.
Me ilitaka kunipofua macho had muda wa ck tatu sioni nikiamka naanza kuona taratibu paka naipata fullBoss dawa mbaya sana hizo zimefanya watu wengi viziwi wengine wamepoteza uwezo wa kusikia vizuri na unaweza bubu kabisa.
Mi wananionea bure tu. Mi ndo kwanza nlikuwa nawatuliza maumivu yaliyokuwa yanaletwa na fellow tablet wangu klorokwiniAsprin njoo useme ulitendwaje hapa na pacha wako klorokwini.
Achana nayo... njoo kwangu nikutulize maumivuHiyo dawa hafai dadeki sitasahau, ilitaka kumtoa mama yangu uhai hiyo sio dawa ni poison wallah
Hivi wee ni KE sasa kwa jina hilo utamtuliza au ndio kifo kabisaAchana nayo... njoo kwangu nikutulize maumivu
Hebu kamuulize mama yako nilichokuwa namfanyia kabla hajaolewa.Hivi wee ni KE sasa kwa jina hilo utamtuliza au ndio kifo kabisa
Kama kweli vilenilikuwa nikizimeza hizo au Kwinini.. maskio yanalia diiiii iiiiiiii siku nzima.
DuuhBoss dawa mbaya sana hizo zimefanya watu wengi viziwi wengine wamepoteza uwezo wa kusikia vizuri na unaweza bubu kabisa.
kaka usinikumbushe hizo dawa....zilinitesa sana katika makuzi yangu miaka ile ya 90.....Mimi nilikuwa zinaniwasha mwili mzima nikizimeza..
Khaa, mdogo wangu kuwa mpole.Kama kweli vile