Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

4, 4, 2
Nadhani huu mfumo wa kucheza FOOTBALL waliugundua kutoka kwenye dozi hii
Hahahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Itakuwa Sir Alex aliwahi kunywa hizo dawa. Ndio maana aliupenda huo mfumo
 
Boss dawa mbaya sana hizo zimefanya watu wengi viziwi wengine wamepoteza uwezo wa kusikia vizuri na unaweza bubu kabisa.
Me ilitaka kunipofua macho had muda wa ck tatu sioni nikiamka naanza kuona taratibu paka naipata full
 
Alaf mi nadhani zile dawa zilipokuwa zinatengenezwa walibandika kibao chenye maneno ya herufi kubwa sana "FOR EXPORT ONLY"
 
Aisee nilikuwa nikimezea karibu na shimo la taka maana lazima nitapike
 
Hivi wee ni KE sasa kwa jina hilo utamtuliza au ndio kifo kabisa
Hebu kamuulize mama yako nilichokuwa namfanyia kabla hajaolewa.

Namwonea huruma sana. Sikujua kama angekuja kuzaa shoga
 
daah!nakumbuka nilivyokuwa mdgo,kila nikiugua maralia nakunywa,basi naanza kuwashwa,usiku kivumbi!naandaa gunzi la hindi,usiku kucha najikunia!kwel tumetoka mbal
 
ile na kwinini ndo dawa za ukweli za Malaria
 
vijana waliozaliwa wakati mzee mwinyi anakaribia kumaliza mda wake wa urais, hawawezi kutuelewa haya tunayojadili hapa kuhusu klorokwini (chloroquine).

uhenga una gharama zake...acheni tu jamani.
 
Back
Top Bottom