Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe cha juzi..ila kwangu 96 97 mbali mkuu.
Hakika kulikua na mambo mazuri hasa
Siku hizi wameleta tehama sijui vitu ganiHakika kulikua na mambo mazuri hasa
Sidhani kama watoto wa saivi wanasoma hadithi nzuri kama tulizosoma
Sent using Jamii Forums mobile app
KWAKWELI NIMEMISS KULAMBA KAMASI NA KUCHEZA GOROLI
Wote wahenga kwa nyakati tofautiDaah Mliosoma Sadiki na Chitemo mshakuwa wahenga? Tuliosoma Sadiki na Sikiri tunakomenti wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wahenga kwa nyakati tofauti
Kuna watu hawajamsoma chitemo[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliyesoma kijijini Kuna kakaz walikua wanakuja shule na kaptula hapa mbele zip zilishaharibika[emoji23][emoji23]wanavaa manguo mengimengi ndani
Niliyesoma kijijini Kuna kakaz walikua wanakuja shule na kaptula hapa mbele zip zilishaharibika[emoji23][emoji23]wanavaa manguo mengimengi ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizo Mouse ilikuwa inaletwa darasani?Siku hizi wameleta tehama sijui vitu gani
Mwalimu anawaonyesha watoto hii Ni mouse(panya),,huku mwenyewe haijui..hi hasa shule za vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app