Wahenga tukutane hapa

Wahenga tukutane hapa

Alafu hapo mistari ya mwisho,huwa inaanza urithi tunatamani Mali yetu ya halali ndo wanamalizia sema iko wapi Mali itufae maishani
Wakazidi kumchimba baba mwenye homa kali
Baba yetu watufumba hatujui fumbo hili
Akili yetu nyembamba haijajua methali
Sema iko wapi mali itufae maishani.
Urithi tunatamani,Mali yetu ya halalali




Madogo walikomaa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtunzi nawatungia,mzozo nilioona,
Yai eti abishia,asema kuku Ni mwana,
Mzozo nautatua,kuku ndiye mwenye jina,
Yai wewe Ni mtoto,kuku kwako ndiye mama
[emoji56][emoji2960][emoji2960]
-Awafu mwenye nguvu
-Pamela na kipini
-Siku ya gulio
-Tola alia gizani
-Watoto wageuka mawe
-Mkutano wa wanyama
-Nani atamfunga paka kengere
-Muwa uliozamisha meli
-Sadiki na Chitemo
-Jogoo wa ajabu
-Mpapai na mtete
-Kuku na yai
-Pepe mwanangu huna masikio
-Chopeko na mnofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWAKWELI NIMEMISS KULAMBA KAMASI NA KUCHEZA GOROLI
Mimi nmemis kuimba wimbo was taifa
Tulikua tunaweka mkono apa kwenye paji la uso.. style Kama unasalimia ile kimprimary

Sasa watu bwana unakuta imeimbwa"hizi Ni ngao zetu Tanzania na watu wake"
Mara watu hao wanashusha mikono kwa kishindo chote[emoji23][emoji23]kustuka wimbo unaendelea inabidi warudishe Tena mikono juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tyliosoma sadiki na chitemo nasi tushakuwa wahenga eeeh?

Asprin na niah nyie mlisoma kitabu gani?


Nakumbuka tu hadithi ya sisimizi na tembo. Sisimizi anampiga tembo kungaragaza kwa kidole chake.
Darasa la kwanza na pili tulisoma Kitabu chenye hadithi ya Bulicheka na mke wake Elizabeti, la tatu na nne tulikuwa na vitabu vya ziada vya Alfrela Ulela, English nakumbuka kile cha Mr. Mtabingwa.

Imagine kwenye history tulisoma mpaka waisrael walivyotoka kwenye mito ya Tigris na Elf-rates.
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23] mengine nimesahahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza shirikianeni,nawapa hiyo kauli,
Fanyeni Kaz shambani,mwisho mtapata Mali,
Haya Sasa buriani,kifo kimenikabili,
Km mwataka kauli,semeni niseme nn?

Alipokwisha kutaja,fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja,roho ikaaga mwili,
Na watoto kwa umoja,wakakumbuka kauli,
Km tunataka Mali,tutaipata shambani


Fumbo wakatafakari,watoto wale wawili,
Wakakatana shauri,baada ya siku mbili,
Wote wakatafakari,usemi wakakubali,
Kama tunataka Mali, tutaipata shambani

Shamba wakapapalilia,bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia,wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia,usemi wakakubali,
Km mnataka Mali , mtaipata shambani

[emoji23][emoji23][emoji23] I wish huu uwezo wa kukumbuka ningeuhamishia kwa madude haya nayosoma siku iz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza shirikianeni,nawapa iyo kauli,
Fanyeni Kaz shambani,mwisho mtapata Mali,
Haya Sasa guliani,kifo kimenikabili,
Km mwataka kauli,semeni niseme nn?

Alipokwisha kutaja,fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja,roho ikaaga mwili,
Na watoto kwa umoja,wakakumbuka kauli,
Km tunataka Mali,tutaipata shambani


Fumbo wakatafakari,watoto wale wawili,
Wakakatana shauri,baada ya siku mbili,
Wote wakatafakari,usemi wakakubali,
Kama tunataka Mali, tutaipata shambani

Shamba wakapapalilia,bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia,wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia,usemi wakakubali,
Km mnataka Mali , mtaipata shambani

[emoji23][emoji23][emoji23] I wish huu uwezo wa kukumbuka ningeuhamishia kwa madude haya nayosoma siku iz

Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto una raha[emoji16][emoji16][emoji16]
I always miss those years.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom