tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Enzi za utoto hadithi bila picha hainogi kabisa.
Sijui kwanini watoto wanapenda sana picha na nyimbo.
Sijui kwanini watoto wanapenda sana picha na nyimbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za utoto hadithi bila picha hainogi kabisa.
Sijui kwanini watoto wanapenda sana picha na nyimbo.
Eti watoto wa siku hizi wao wako busy na kuangalia cartoon
Kwa kweliWamezaliwa zama za cartoon acha wafurahi.
Sizitaki mbichi hizo-Awafu mwenye nguvu
-Pamela na kipini
-Siku ya gulio
-Tola alia gizani
-Watoto wageuka mawe
-Mkutano wa wanyama
-Nani atamfunga paka kengere
-Muwa uliozamisha meli
-Sadiki na Chitemo
-Jogoo wa ajabu
-Mpapai na mtete
-Kuku na yai
-Pepe mwanangu huna masikio
-Chopeko na mnofu.
Halafu ni Sadiki na Fikiri sio sikiri ujue kakosea
Hizo beti nishaandika kule juuAlipokwisha kutaja, fumbo hili la akili.Mahuti nayo yakaja roho ikaacha mwili.Na watoto kwa umoja wakakumbuka kauli,kama mnataka Mali mtayapata shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,huu nimeusahau jmn[emoji16]Wahenga wenzangu njooni mmalizie.Ubeti wa mwisho ulikuwa na Maneno kama"Hawakuitaka pombe,sababu pombe si mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni Sadiki na Fikiri sio sikiri ujue kakosea