Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Wahenga wa kike mnakumbuka haya!
Magauni ya redimedi!
Nguo za sare sare(sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake mzegua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3])
Moka nyeupe kwa nyeusi!
Soksi nyeupe zina maresi kwa juuu zikilegea ni balaaaa!
Vimkoba vilivyokuwa vinakuja na redimedi na kofia zake zina maua na kambaa ya kubana shingoni.
Baada ya kuvaa redimedi sikukuu unajipaka wanja alafu unaweka vidoti vitatu mashavuni na kwenye utosi usoni.
Ukinunua pichu mpya lazima uwaonyeshe mashosti zako [emoji3][emoji3][emoji3]
Siku mkipika wali nyamaa sasa swali la kuwauliza mashost zako
( Otea kwetu leo tumepika nini?)agggh ilikuwa rahaaaaa sana.
Shunie karibu uchukue fukufuku .
Mrs Jr (Malikia wa Ulozi)