Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Gauni alafu chini kiunoni linavutwa marindaaa loooh
Kuna mshono mmoja uliitwa tingisha, yaani hata kama huna wukwu/wowowo lazima utingishe.. gauni linashonwa linatiwa sponge. Hahaha
 
Hahaha! Hapo kwenye chupi, mkiwa shule unawaomba wenzio wakusindikize toilet, huko toilet sasa sketi inabinuliwa nje kabisa kabla hata ya kuingia toilet..Hapo lazima waishangae na kukusifia.
Umesahau wakat wa kucheza redeeee lazima ufunue sket mpaka juu wataonaje kama pichu mupyaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duuuh

Mwanamke nyongaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ilikuwa inabeba takoooo balaaaa
 
😀 😀 😀 😀 😀
Yaani
 
Achana na mwanamke nyonga + nguva
Kuna mshono uliitwa Tingisha.
Duuuh

Mwanamke nyongaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ilikuwa inabeba takoooo balaaaa
Redimedi zilikuwa za special alafu unavaaa zikikuvuka unamwachia na mwingine anavaaaa na yeye zikimvuka anamwachia na mwingine jaman nguo haziiishi wala kupaukaaa
Hivi ile mshono nilishonewa utoto sikukuu moja hivi me na cousin wangu mana huyu ndio tulikuwa tunavalishwa sare upo hivi skirt ndefu ni tait ina mpasuo mbele pembeni na blauzi ya vifungo vya kugongewa
 
Hahaha! wengine kwenye hicho kimpasuo cha sketi walikuwa wakiweka vishikizo pia.
 
Hahaha! Hapo kwenye chupi, mkiwa shule unawaomba wenzio wakusindikize toilet, huko toilet sasa sketi inabinuliwa nje kabisa kabla hata ya kuingia toilet..Hapo lazima waishangae na kukusifia.
Hahahaha hapo sasa hata hujatoa lebo,au wakati wa kucheza rede unajirusha uku unafunua sketi
 
Achana na mwanamke nyonga + nguva, hiyo mishono ilikuwa inakusanya tako
Kuna mshono uliitwa Tingisha, unafanya tako litingishike.
Hiyo tingisha siijui jaman au nimesahau labda tulikuwa tunatofautiana majina

[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe wanawake tunavaaa vigodor toka zaman
 
Hivi ile mshono nilishonewa utoto sikukuu moja hivi me na cousin wangu mana huyu ndio tulikuwa tunavalishwa sare upo hivi skirt ndefu ni tait ina mpasuo mbele pembeni na blauzi ya vifungo vya kugongewa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja pyaar akujibu maan mm mambo ya mishono.khaaa nilikuwa sipendi
 
Ukinunuliwa nguo mpya kila saa unaingia ndani kujipima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama angu alikuwa mjanja anawanunulia nguo anazificha karibia na sikukuuu mm nanuna kila sku akinituma kazi namwambia sitak hujaninunulia gauni siku akilitoa naniambia sikupi mpaka ufanye kazi fulani oooh jaman nitalia hiyo sku balaaaa
 
Back
Top Bottom