Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama angu alikuwa mjanja anawanunulia nguo anazificha karibia na sikukuuu mm nanuna kila sku akinituma kazi namwambia sitak hujaninunulia gauni siku akilitoa naniambia sikupi mpaka ufanye kazi fulani oooh jaman nitalia hiyo sku balaaaa
Mie za kushonea nilikua sipendi hizo nashukuru sikuwahi kushonewa,ni mwendo wa gauni na kofia yake na kamkoba kake,pale wakati mama anaendelea kupika pilau la sikuku nyie mshavaa mmekaa uwanjani kwenu mnachungulia kwa jirani kama na wenyewe wamevaaHivi ile mshono nilishonewa utoto sikukuu moja hivi me na cousin wangu mana huyu ndio tulikuwa tunavalishwa sare upo hivi skirt ndefu ni tait ina mpasuo mbele pembeni na blauzi ya vifungo vya kugongewa
😀 😀 😀 😀 😀Mie za kushonea nilikua sipendi hizo nashukuru sikuwahi kushonewa,ni mwendo wa gauni na kofia yake na kamkoba kake,pale wakati mama anaendelea kupika pilau la sikuku nyie mshavaa mmekaa uwanjani kwenu mnachungulia kwa jirani kama na wenyewe wamevaa
Hahahaha huo sijaushuhudia au uku kwetu dongo teremka haukufikaAchana na mwanamke nyonga + nguva, hiyo mishono ilikuwa inakusanya tako
Kuna mshono uliitwa Tingisha, unafanya tako litingishike.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukisikia mlango unafunguliwa unarudisha harakaharaka looojMi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23]
Me za kushonewa sikukuu yeyote inikutie kwa aunty yangu nitajutraaa tena tunashonewa sare sare na binamu yanguMie za kushonea nilikua sipendi hizo nashukuru sikuwahi kushonewa,ni mwendo wa gauni na kofia yake na kamkoba kake,pale wakati mama anaendelea kupika pilau la sikuku nyie mshavaa mmekaa uwanjani kwenu mnachungulia kwa jirani kama na wenyewe wamevaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkitoka na mashost kazi kusifiana tu fulan amevaaa gauni zuri sana jamanMie za kushonea nilikua sipendi hizo nashukuru sikuwahi kushonewa,ni mwendo wa gauni na kofia yake na kamkoba kake,pale wakati mama anaendelea kupika pilau la sikuku nyie mshavaa mmekaa uwanjani kwenu mnachungulia kwa jirani kama na wenyewe wamevaa
Mie nakumbuka tulikuwa tukienda kwa fundi unamwambia akushonee skirt ndefu tight yenye mpasuo, na blauzi fupi.. hapo kwenye blauzi ndo unachagua shingo iwe vipi, round, kona kona au unawekewa vishikizo.Unaitwajeeee
Siku moja nimetumwa nichukue hela kwenye droo(vitanda vya zamani vina droo apo apo) kufika nikaanza kupima viatu haha najaribisha viatu afu najifanya kutembea kimisi kumbe mama ananchungulia sasa baada ya kuona mbona sitoki hahahaha akanishtukiza tu "mpumbavu mkubwa wewe nimekutuma nini"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukisikia mlango unafunguliwa unarudisha harakaharaka loooj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawauliziWatu wakiwaona wanajua tu hawa nduguu
Ila wazee wa zaman walikuwa na akili sanaaa
Nakumbuka nilishonewaga zile nguo zilikuaga zinaitwa bazee(mabazee)ndo yalivuma kipindi hicho sare na dogo na mama,nilikua sipendi kuzivaa mpaka mama alizigawaMe za kushonewa sikukuu yeyote inikutie kwa aunty yangu nitajutraaa tena tunashonewa sare sare na binamu yangu
Mm nilikuwa napenda mwanamke nyongaaa alafu anaweka kikamba kwa chini ya takoo aliounga nikivuta takooo loteee linabebwaa jujuuuuuMie nakumbuka tulikuwa tukienda kwa fundi unamwambia akushonee skirt ndefu tight yenye mpasuo, na blauzi fupi.. hapo kwenye blauzi ndo unachagua shingo iwe vipi, round, kona kona au unawekewa vishikizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya surualiNakumbuka nilishonewaga zile nguo zilikuaga zinaitwa bazee(mabazee)ndo yalivuma kipindi hicho sare na dogo na mama,nilikua sipendi kuzivaa mpaka mama alizigawa
Hahahha! Aisee nakumbuka nguo ilikuwa yanunuliwa mapema kabla ya sikukuu, basi kufika sikukuu ishachafuka kwa kujaribisha,,Mi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23]
Ukiona gauni la mwenzio zuri unaenda kumwambia mamako na mi nataka kama la vero,utalia mpaka litaletwa,ila sasa mama angu ni kiboko,siku nyingine hataki huo upuuzi,ukililia nguo utachapwa mpaka uone moto(nadhani hapa pengine anakua hana hela[emoji23] maana siku nyingine nikilia napata)[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkitoka na mashost kazi kusifiana tu fulan amevaaa gauni zuri sana jaman
Eti gauni linavaliwa na mokaaa nyeupe na soksi nyeupe