Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama angu alikuwa mjanja anawanunulia nguo anazificha karibia na sikukuuu mm nanuna kila sku akinituma kazi namwambia sitak hujaninunulia gauni siku akilitoa naniambia sikupi mpaka ufanye kazi fulani oooh jaman nitalia hiyo sku balaaaa
Mi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23]
 
Hivi ile mshono nilishonewa utoto sikukuu moja hivi me na cousin wangu mana huyu ndio tulikuwa tunavalishwa sare upo hivi skirt ndefu ni tait ina mpasuo mbele pembeni na blauzi ya vifungo vya kugongewa
Mie za kushonea nilikua sipendi hizo nashukuru sikuwahi kushonewa,ni mwendo wa gauni na kofia yake na kamkoba kake,pale wakati mama anaendelea kupika pilau la sikuku nyie mshavaa mmekaa uwanjani kwenu mnachungulia kwa jirani kama na wenyewe wamevaa
 
😀 😀 😀 😀 😀
 
Mi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukisikia mlango unafunguliwa unarudisha harakaharaka loooj
 
Me za kushonewa sikukuu yeyote inikutie kwa aunty yangu nitajutraaa tena tunashonewa sare sare na binamu yangu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkitoka na mashost kazi kusifiana tu fulan amevaaa gauni zuri sana jaman

Eti gauni linavaliwa na mokaaa nyeupe na soksi nyeupe
 
Siku moja nimetumwa nichukue hela kwenye droo(vitanda vya zamani vina droo apo apo) kufika nikaanza kupima viatu haha najaribisha viatu afu najifanya kutembea kimisi kumbe mama ananchungulia sasa baada ya kuona mbona sitoki hahahaha akanishtukiza tu "mpumbavu mkubwa wewe nimekutuma nini"
 
Me za kushonewa sikukuu yeyote inikutie kwa aunty yangu nitajutraaa tena tunashonewa sare sare na binamu yangu
Watu wakiwaona wanajua tu hawa nduguu

Ila wazee wa zaman walikuwa na akili sanaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaulizi
 
Me za kushonewa sikukuu yeyote inikutie kwa aunty yangu nitajutraaa tena tunashonewa sare sare na binamu yangu
Nakumbuka nilishonewaga zile nguo zilikuaga zinaitwa bazee(mabazee)ndo yalivuma kipindi hicho sare na dogo na mama,nilikua sipendi kuzivaa mpaka mama alizigawa
 
Mie nakumbuka tulikuwa tukienda kwa fundi unamwambia akushonee skirt ndefu tight yenye mpasuo, na blauzi fupi.. hapo kwenye blauzi ndo unachagua shingo iwe vipi, round, kona kona au unawekewa vishikizo.
Mm nilikuwa napenda mwanamke nyongaaa alafu anaweka kikamba kwa chini ya takoo aliounga nikivuta takooo loteee linabebwaa jujuuuuu
 
Mi nilikua nikiletewa ngua lazima nijipime waone kama inantosha,kama haintoshi warudishe wachukue nyingine,na atakapoweka mama napajua,nikitumwa ndani naenda napima afu natoka[emoji23] [emoji23]
Hahahha! Aisee nakumbuka nguo ilikuwa yanunuliwa mapema kabla ya sikukuu, basi kufika sikukuu ishachafuka kwa kujaribisha,,

Hapo unakuwa wataka marafiki zako waione, halafu ushajua mama kaiweka wapi.. Una mvizia mama yupo nje, unaivaa halafu
unawaambia marafiki zako wakae mkao wa kula,,hahahaha! Wanakaa mlangoni halafu unakuwa unajipitisha ili wakuone..Hahahaha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkitoka na mashost kazi kusifiana tu fulan amevaaa gauni zuri sana jaman

Eti gauni linavaliwa na mokaaa nyeupe na soksi nyeupe
Ukiona gauni la mwenzio zuri unaenda kumwambia mamako na mi nataka kama la vero,utalia mpaka litaletwa,ila sasa mama angu ni kiboko,siku nyingine hataki huo upuuzi,ukililia nguo utachapwa mpaka uone moto(nadhani hapa pengine anakua hana hela[emoji23] maana siku nyingine nikilia napata)
 
Back
Top Bottom