Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

picha bana!!
 
Fashion zinajirudia tu, nikiziangalia picha za dingi yangu za miaka hiyo, amepigilia mbano(modo) ya hatare utasema Peter Tosh au Bob, nami ktk ubro men nimezipiga hizohizo, ukiniona utadhani nilizivaa kwa sabuni.
 
Halafu kwa wanaume kuna vitu walikuwa wanavaa, wenyewe wanaviita VIP
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], mhenga wa kiume anaweza nisaidia kwa hili.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mm nilikuwa nafichiwa ndani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]heshima kwa wamama wote wa kwangu mkali ananunua kimya kimya anaficha na alikuwa anajua saiz zetu vizur sana ila anaficha sjui kwann
 
Hahahahahahah daaaah nimecheeeka hiyo ya kujipitisha,nilikua nawaambia wenzangu,kaeni hapa nikawaoneshe nguo nimeletewa naenda navaa af natoka nasimama mlangoni,watanishika shika kunisfia mpaka ichafuke
Ukisikia mama anarud ndukiii mpaka ndani
 
Hahaha huo naujua ila sikuwahi kuuvaa,na bkauzi yake inakua na kikamba ukivuta kanabana maziwa,sista angu kavaa sana.
Viatu vya kamongo unavikumbuka kama wahindi hahahhahah
 
Yaaaani kama ulikuwepo hahaha lilikua la blue bahari,afu hizo nguo mama mpaka leo zake kazitunza,ila zangu uwii nilikua sizipendi nazichukia akazigawa
Wamam jaman resi material mama angu anayo mpaka leo
 
Hahahaha! Ilikuwa raha sana.
Ilikuwa inachanganywa, suruali rangi moja halafu blauzi inakuwa ya maua maua, blauzi inakuwa na mipasuo pembeni.
Wahindi style na kiatu cha kamongooo agggh
 
Umenichekesha kwenye dondola jaman ukienda kula maperaa au zambarau lazima ukung'utwe na dondolaaaa hahahahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…