Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
Hahahahahah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli kula hakuna atayejua sijala ila skuna kila mtu ataona sijavaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli kula hakuna atayejua sijala ila skuna kila mtu ataona sijavaa
NdiyoShifoni au
NdiyoShifoni au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, sisi kitaani kwetu tulikua tunaita magauni ya setiNdo redimedi iyo
picha bana!!Wahenga wa kike mnakumbuka haya!
Magauni ya redimedi!
Nguo za sare sare(sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake mzegua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3])
Moka nyeupe kwa nyeusi!
Soksi nyeupe zina maresi kwa juuu zikilegea ni balaaaa!
Vimkoba vilivyokuwa vinakuja na redimedi na kofia zake zina maua na kambaa ya kubana shingoni.
Baada ya kuvaa redimedi sikukuu unajipaka wanja alafu unaweka vidoti vitatu mashavuni na kwenye utosi usoni.
Ukinunua pichu mpya lazima uwaonyeshe mashosti zako [emoji3][emoji3][emoji3]
Siku mkipika wali nyamaa sasa swali la kuwauliza mashost zako
( Otea kwetu leo tumepika nini?)agggh ilikuwa rahaaaaa sana.
Shunie karibu uchukue fukufuku .
Mrs Jr (Malikia wa Ulozi)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mm nilikuwa nafichiwa ndaniHahahha! Aisee nakumbuka nguo ilikuwa yanunuliwa mapema kabla ya sikukuu, basi kufika sikukuu ishachafuka kwa kujaribisha,,
Hapo unakuwa wataka marafiki zako waione, halafu ushajua mama kaiweka wapi.. Una mvizia mama yupo nje, unaivaa halafu
unawaambia marafiki zako wakae mkao wa kula,,hahahaha! Wanakaa mlangoni halafu unakuwa unajipitisha ili wakuone..Hahahaha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]heshima kwa wamama wote wa kwangu mkali ananunua kimya kimya anaficha na alikuwa anajua saiz zetu vizur sana ila anaficha sjui kwannUkiona gauni la mwenzio zuri unaenda kumwambia mamako na mi nataka kama la vero,utalia mpaka litaletwa,ila sasa mama angu ni kiboko,siku nyingine hataki huo upuuzi,ukililia nguo utachapwa mpaka uone moto(nadhani hapa pengine anakua hana hela[emoji23] maana siku nyingine nikilia napata)
Ukisikia mama anarud ndukiii mpaka ndaniHahahahahahah daaaah nimecheeeka hiyo ya kujipitisha,nilikua nawaambia wenzangu,kaeni hapa nikawaoneshe nguo nimeletewa naenda navaa af natoka nasimama mlangoni,watanishika shika kunisfia mpaka ichafuke
Umenichekesha kwenye dondola jaman ukienda kula maperaa au zambarau lazima ukung'utwe na dondolaaaa hahahahahhahaHapo kwenye Mokasi ni za kiume za kike zilikuwa zinaitwa Skuna, sisi wanaume tulikuwa tuna suruali za Tokyo. Yaani ukivaa Tokyo we mkali, zilikuwa zina mikanda yake noma sana aisee, wadudu maarufu enzi hizo, ni panzi, fukufuku, dondora kwenye mipera, na wale wanaopatikana kwenye michongoma wana pembe kama za ngombe walikuwa wanacbezeshwa kwa kujizungusha chini pembe zao, mwisho kabisa walikwepo bruce lee walikuwa wana mapigo ya kibruce maarufu kama vunjajungu, hahahahahahahaaa nimecheka sana kwa kukumbuka enzi za wakati huo wa kucheza majoka style ni kuchezesha mabega, kwenda kibisa, na mazingaombe ya mashuleni hatari sana wakina power mabula.
Niishie hapo.