Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Nilikuwa nanuna alafu mama angu anapenda kucheka jaman ukinuna ukiona hivyo ujue tayar kafungia redi medi kwenye kabati.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kupatwa kwa skunaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acha tu yani na skuna nazozitaka nilikuwa ndio fashion mpya so bei ipo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaa! Kamongo, umenikumbusha mbaali, dah.
Kamongo jaman nakumbuka mama angu alienda dar kariakooo akaja na shangazi kajaa limejaa kamongo tuligawa ukooo mzimaaa hahahhahaha
 
Kamongo navipata fresh, mbele kama vimechongoka flani, halafu vina nakshi nakshi za rangi tofauti, nyuma vinaacha kisigino wazi.
Viatu vya wahind vingne vilkuwa na kisigino
 
Hahahahaaa! Akitembea vinawaka waka kama ambulance.
Wenyewe wanafanya maksudi wanapiga piga miguu chini kama gwaride vile ili kuturingishia.
Unakuta sasa mkaka ambaye ana viatu vya kuwaka waka taaa mnamfatilia kwa nyuma na yeye anazidisha maringo mtazunguka mtaaa mzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]
Mm sikuv hivyo...labda kipindi nipo mdogo sana siwezi kukumbuka.
na ujanja wangu wote nivae hivyo viatu hahaha hapana asee
 
Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Unakuta sasa mkaka ambaye ana viatu vya kuwaka waka taaa mnamfatilia kwa nyuma na yeye anazidisha maringo mtazunguka mtaaa mzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hahahaaahaaa, chupi kuna muda zilikuwa zinapanda hadi shingoni,, πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Haahaaha Mwifwa njooo hapa unitafsirie tafadhali wenyewe wanazijua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vile hata mimi nilikuwa navyo usiku navaa halafu Napenda niwe natumwa tumwa ili nitembee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acha tu yani na skuna nazozitaka nilikuwa ndio fashion mpya so bei ipo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamam walikuwa wanatupendaa kuna sku nikaletewa skuna inabana jaman nililia alafu akapewa mdogo wangu wakat yeye ana skuna kibao niliona sku mbaya alafu skuna ilikuwa nyeus

Kaka angu akasema mkateni vidole itatoshaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…