Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
hahaha vile ukitembea vina wakawakaHujavaaa vile viatu vya kuwaka taaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha vile ukitembea vina wakawakaHujavaaa vile viatu vya kuwaka taaa
Nilikuwa nanuna alafu mama angu anapenda kucheka jaman ukinuna ukiona hivyo ujue tayar kafungia redi medi kwenye kabati.Hahahha! Kuna sikukuu moja ya Christmas mama yangu hadi inafika tarehe 23 sioni dalili ya nguo kununuliwa.
Nikaanza ooh mama mama fulani kamnunulia mtoto wake (rafiki yangu) nguo nzuri hiyo..Mama nae anaitikia kwa jeuri "sawa mwanangu"
Nikaona hapa lazima nitafute namna nguo inunuliwe (bila kujua anawaza nini)
Nimelala siku nzima najifanya naumwa, kula sili. kesho yake (trh 24) Namwona mama kabebelea mifuko, nikajua tayari.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 Hahahha! Kuna Christmas moja mama yangu hadi inafika tarehe 23 sioni dalili ya nguo kununuliwa.
Nikaanza ooh mama, mama fulani kamnunulia mtoto wake (rafiki yangu) nguo nzuri hiyo..Mama nae anaitikia kwa jeuri "sawa mwanangu"
Nikaona hapa lazima nitafute namna nguo inunuliwe (bila kujua anawaza nini)
Nimelala siku nzima najifanya naumwa, kula sili. kesho yake (trh 24) Namwona mama kabebelea mifuko, nikajua tayari.
😀 😀 😀 😀 😀 😀.
Hahahaaahaaa, chupi kuna muda zilikuwa zinapanda hadi shingoni,, 😀 😀 😀 😀Pichuuuu hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kupatwa kwa skunaaa
Vile hata mimi nilikuwa navyo usiku navaa halafu Napenda niwe natumwa tumwa ili nitembee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume walikuwa wanapenda viatu vya kuwaka taaa usiku atapita mtaa mzima muone vinavyowaka waka
Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]hahaha vile ukitembea vina wakawaka
Amna, mm nilikua mjanja sikuwa na mambo ya kulilia nguo mpyaSafii vipi wewe enzi zakoo ulikuwa hupendi kuvaa nguo mpyaaaa
Unakuta sasa mkaka ambaye ana viatu vya kuwaka waka taaa mnamfatilia kwa nyuma na yeye anazidisha maringo mtazunguka mtaaa mzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahaaa! Akitembea vinawaka waka kama ambulance.
Wenyewe wanafanya maksudi wanapiga piga miguu chini kama gwaride vile ili kuturingishia.
Mm sikuv hivyo...labda kipindi nipo mdogo sana siwezi kukumbuka.Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]
😀 😀 😀 😀 😀Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]
Hapana sikumbuki kuvaaNdiooooh
😀 😀 😀 😀 😀Unakuta sasa mkaka ambaye ana viatu vya kuwaka waka taaa mnamfatilia kwa nyuma na yeye anazidisha maringo mtazunguka mtaaa mzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😀 😀 😀 😀Vile hata mimi nilikuwa navyo usiku navaa halafu Napenda niwe natumwa tumwa ili nitembee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamam walikuwa wanatupendaa kuna sku nikaletewa skuna inabana jaman nililia alafu akapewa mdogo wangu wakat yeye ana skuna kibao niliona sku mbaya alafu skuna ilikuwa nyeus[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha tu yani na skuna nazozitaka nilikuwa ndio fashion mpya so bei ipo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]