😀 😀 😀 😀Wamam walikuwa wanatupendaa kuna sku nikaletewa skuna inabana jaman nililia alafu akapewa mdogo wangu wakat yeye ana skuna kibao niliona sku mbaya alafu skuna ilikuwa nyeus
Kaka angu akasema mkateni vidole itatoshaaa
60Looh wewe muhenga wa miaka gani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pilauuuu agggh utoto shida sana jaman
Ukila nyamaa utatembea na mfupa siku nzimaa unanawa kidogooo
[emoji23][emoji28][emoji23] mm sijavaa ss, labda wazee hawakuwa na ela ya kuninunulia.....sijavaa mimi.Ahahahhaha acha uongo wewe viatu vya kuwaka hakuna mtu ambaye hajavaaaa
hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watt wenzio wanakufata nyuma kama maandamano ya kudai uhuru
Mahabaa jamboo toto zuriiLooh shikamoooo
ww ulikua mtundu sana inaonekana [emoji23][emoji28][emoji23]Pilauuuu agggh utoto shida sana jaman
Ukila nyamaa utatembea na mfupa siku nzimaa unanawa kidogooo