Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Nazikumbuka vizuri sana, mishono yake mara nyingi ilikuwa yashonwa ile mishono ya kinigeria..
 
Wamam walikuwa wanatupendaa kuna sku nikaletewa skuna inabana jaman nililia alafu akapewa mdogo wangu wakat yeye ana skuna kibao niliona sku mbaya alafu skuna ilikuwa nyeus

Kaka angu akasema mkateni vidole itatoshaaa
😀 😀 😀 😀
 
Vile hata mimi nilikuwa navyo usiku navaa halafu Napenda niwe natumwa tumwa ili nitembee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watt wenzio wanakufata nyuma kama maandamano ya kudai uhuru
 
Kuna muda ukitembea haviwaki so inabidi ukanye chini kwa nguvu kama umeweka gia ya kupandisha mlima[emoji3]
Kama unapiga stata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mm sikuv hivyo...labda kipindi nipo mdogo sana siwezi kukumbuka.
na ujanja wangu wote nivae hivyo viatu hahaha hapana asee
Ahahahhaha acha uongo wewe viatu vya kuwaka hakuna mtu ambaye hajavaaaa
 
Back
Top Bottom