Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh kipindi ndugu yangu habar kwa lugha ya malkia mida flan hivi ya mchanaHiki nacho kilikuwa kipindi?
Kitendo cha kusema "bana.." Inaonyesha unadanganyaSidanganyi bana
Me nimemiss wa hapa hapa na kijiji cha wanajitazame sijui kipindi kilikuwa kinaitwajeJamani kweli siku hazigandi. Nakumbuka enzi hizo hakuna utitiri wa redio stations ukitaka kusikiliza huna option kama kipindi kilichopo hukipendi uzime tu radio.
Hata mfumo wa vipindi ulikuwa tofauti sana na huu wa sasa...enzi hizo vipindi vililenga kutoa elimu zaidi kuliko burudani. Kama kipindi ni cha kutoa elimu kuhusu masuala ya umeme let's say, hakuna porojo ni elimu tu mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwishoni hivi, kuna vipindi nilikuwa sipitwi kabisa hata kama nilikuwa kucheza muda huo ntafanya juu chini niwepo
Kulikuwa na vipindi vya watoto kimoja nilikuwa kinaitwa Mama na mwana kilikuwa kinarushwa jumamosi saa nane na nusu. Nilikuwa sipitwi kabisa....kulikuwa na hadithi zilikuwa zinasimuliwa naikumbuka moja tu ya Binti Chura.
Kuna kipindi kingine kilikuwa kinaitwa Twende na wakati ulikuwa mchezo wa kuigiza unarushwa kila jumamosi saa mbili na nusu usiku. Nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua maana ulikuwa haurudiwi ukipitwa ndo tuonane next episode.
Karibu mdau tukumbushane wewe ulikuwa unapenda vipindi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimemiss wa hapa hapa na kijiji cha wanajitazame sijui kipindi kilikuwa kinaitwaje
HahahahahaahahahHiki niliwahi kukisikia walikuwa wanaanza na ka wimbo kanasema 'wa hapahapa wa hapahapa aah' Hapa tayari nilikuwa mzee nikawa bize na shule kwa hiyo nilikuwa nakisikiliza kwa muda tu
Acheni kabisa mama na mwana ilikuwa bamba to bamba, alikuwa anatangaza anti debora mwandaJamani kweli siku hazigandi. Nakumbuka enzi hizo hakuna utitiri wa redio stations ukitaka kusikiliza huna option kama kipindi kilichopo hukipendi uzime tu radio.
Hata mfumo wa vipindi ulikuwa tofauti sana na huu wa sasa...enzi hizo vipindi vililenga kutoa elimu zaidi kuliko burudani. Kama kipindi ni cha kutoa elimu kuhusu masuala ya umeme let's say, hakuna porojo ni elimu tu mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa miaka ya tisini mwishoni hivi, kuna vipindi nilikuwa sipitwi kabisa hata kama nilikuwa kucheza muda huo ntafanya juu chini niwepo
Kulikuwa na vipindi vya watoto kimoja nilikuwa kinaitwa Mama na mwana kilikuwa kinarushwa jumamosi saa nane na nusu. Nilikuwa sipitwi kabisa....kulikuwa na hadithi zilikuwa zinasimuliwa naikumbuka moja tu ya Binti Chura.
Kuna kipindi kingine kilikuwa kinaitwa Twende na wakati ulikuwa mchezo wa kuigiza unarushwa kila jumamosi saa mbili na nusu usiku. Nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua maana ulikuwa haurudiwi ukipitwa ndo tuonane next episode.
Karibu mdau tukumbushane wewe ulikuwa unapenda vipindi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hatari mimi nakumbuka nilisikiliza msimu mmoja tu nilikuwa likizoHahahahahaahahah
Nilikuwa naenjoy walikuwa wanaimba wa hapa hapa wa hapa hapa we njoo..ukitaka wa kucheza naye ukitaka wa kuruka naye we njoo kwa hapa hapa.....halafu linafuata igizo sema sasa RTD kule kwetu ilikuwa haisikiki vizuri maana kulikuwa na radio nyingine za kule kwa wenzetu bas ikianza ku-scratch napata hasiraaa hahahahahaahhaahahahahah
Acheni kabisa mama na mwana ilikuwa bamba to bamba, alikuwa anatangaza anti debora mwanda