Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

tafsiri ya nyimbo usiku kuazia saa nne......"nyimbo kama baba jane ya hamza kalala" solemba
 
Me nimemiss wa hapa hapa na kijiji cha wanajitazame sijui kipindi kilikuwa kinaitwaje
 
Hiki niliwahi kukisikia walikuwa wanaanza na ka wimbo kanasema 'wa hapahapa wa hapahapa aah' Hapa tayari nilikuwa mzee nikawa bize na shule kwa hiyo nilikuwa nakisikiliza kwa muda tu

Hahahahahaahahah
Nilikuwa naenjoy walikuwa wanaimba wa hapa hapa wa hapa hapa we njoo..ukitaka wa kucheza naye ukitaka wa kuruka naye we njoo kwa hapa hapa.....halafu linafuata igizo sema sasa RTD kule kwetu ilikuwa haisikiki vizuri maana kulikuwa na radio nyingine za kule kwa wenzetu bas ikianza ku-scratch napata hasiraaa hahahahahaahhaahahahahah
 
Acheni kabisa mama na mwana ilikuwa bamba to bamba, alikuwa anatangaza anti debora mwanda
 
Haha hatari mimi nakumbuka nilisikiliza msimu mmoja tu nilikuwa likizo
 
Debora Mwenda, Eda Sanga, Halima Kiemba wengine nimewasahau...kuna kitabu fulani form four tulijibia mtihani kinaitwa Kilio Chetu, mchezo ulirushwaga kwenye mama na mwana naona baadae wakaandikia kitabu
Acheni kabisa mama na mwana ilikuwa bamba to bamba, alikuwa anatangaza anti debora mwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…