Kama anauza bangiBei ni siri? African Business,
Ndugu yangu,Mtanzania mwenzangu,weka asking Price hapa,kisha baada ya hapo ndo wa kuja inbox aje,siyo biashara haramu hii.Kitanzania tushazoea ukisema 3500,ntakuuliza ya mwisho sh ngapi,sasa tutajie ya kwanza kabla ya kuja chembaa.Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda.
Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha umwagiliaji kwa muda wote. Kilimo cha pesa ni maji ya uhakika. Wala huna gharama ya kuchimba kisima.
Nilianza kuweka mfumo wa kumwagilia, nikapata changamoto za kiafya. Naliuza lote Ekari 6.
Barabara ya gari hadi shamban. Kutoka barabara kuu ya lami hadi shamban n mita 400. Narudia nauza sababu ya changamoto zinazonikabiri
Kama ni mteja makini nicheki kwa namba +255742 890890
😀😀😀 Mkuu bei Kila mtu atasokotwa kivyake inategemea tu ameendaje.Bei ni siri? African Business,
Atakuwa ni dalaliBei ni siri? African Business,
Wee hutaki mashamba lo???
Hapana ni languAtakuwa ni dalali
Nimekuelewa mkuu. 👍Ndugu yangu,Mtanzania mwenzangu,weka asking Price hapa,kisha baada ya hapo ndo wa kuja inbox aje,siyo biashara haramu hii.Kitanzania tushazoea ukisema 3500,ntakuuliza ya mwisho sh ngapi,sasa tutajie ya kwanza kabla ya kuja chembaa.
Bei ni 5M kwa Ekari, kwa mteja mwenye uhitaji karibu tuzungumze.Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda.
Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha umwagiliaji kwa muda wote. Kilimo cha pesa ni maji ya uhakika. Wala huna gharama ya kuchimba kisima.
Nilianza kuweka mfumo wa kumwagilia, nikapata changamoto za kiafya. Naliuza lote Ekari 6.
Barabara ya gari hadi shamban. Kutoka barabara kuu ya lami hadi shamban n mita 400. Narudia nauza sababu ya changamoto zinazonikabiri
Kama ni mteja makini nicheki kwa namba +255742 890890
tufanye business 2.5M per ekari..Bei ni 5M kwa Ekari, kwa mteja mwenye uhitaji karibu tuzungumze.