Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

Za kazi mkuu?
Nimeona ofa yako 2.5. Kisanga sasa ni 3.5M hadi 3M kwa mashamba ya kutegemea mvua.
Langu lina maji; ni umwagiliaji kilimo cha uhakika mwaka mzima.
Nipo tayar kupunguza hadi 4.5M

Ni shamba zuri sana
 
Back
Top Bottom