K kibuyu180 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 1,798 Reaction score 1,961 Jul 13, 2026 Thread starter #21 Za kazi mkuu? Nimeona ofa yako 2.5. Kisanga sasa ni 3.5M hadi 3M kwa mashamba ya kutegemea mvua. Langu lina maji; ni umwagiliaji kilimo cha uhakika mwaka mzima. Nipo tayar kupunguza hadi 4.5M Ni shamba zuri sana
Za kazi mkuu? Nimeona ofa yako 2.5. Kisanga sasa ni 3.5M hadi 3M kwa mashamba ya kutegemea mvua. Langu lina maji; ni umwagiliaji kilimo cha uhakika mwaka mzima. Nipo tayar kupunguza hadi 4.5M Ni shamba zuri sana