Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Mbulula we ina mana maisha yako unaangalizia kwa wahindi naumeona wahindi tu ndo matajiri. tatizo lako umeingia mjini juzi kutoka kijijini. we hujui siri ya utajiri wa wahindi. mfumo wao umeanzia jamatini. kwa hiyo na wewe acha kuweka Tv hata nyumbaoni kwako uone kama utatajirika ----- we
 
hawa wahindi mimi wameshanistaajabsha hadi basi.. mbona pia huwa hawajiungi na polisi wala jwtz
 
kafanye tena utafiti uje useme kuna waTZ wangapi hawana access na hizo blood ----ing TV na ni maskini wa kutupwa
 
crdb mlimani branch kuna TV,ecobank mnazi mmoja kuna TV,kuna MTU kataja Barclays pia INA maana humo watu hawafanyi kazi.Najua unafahamu banks ni miongoni mwa taasisi ambazo zipo smart kimaamuzi na mambo mengine.

Mkuu umeshawahi kuwaona hao ma bank tellers au mameneja wameacha kuhudumia wateja wao na wanaangalia hizo TV? Ninavyofahamu mimi hizo zimewekwa mostly kwa ajili ya wateja wao ambao wako kwenye foleni, just like wanavyoweka kwenye sehemu mbalimbali za biashara (mahoteli, mabaa, mabasi, Maduka n.k) kwa lengo la kuwakeep wateja wao entertained or informed while waiting for the services (ndo customer care coz mteja ni mfalme!!). Mada hapa ilikuwa kuacha kufanya kazi na kukomaa na TV.
 
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
Umetoroka hosipitali ipi? Kunywa Maji ukalale ukue.
 
Mkuu umeshawahi kuwaona hao ma bank tellers au mameneja wameacha kuhudumia wateja wao na wanaangalia hizo TV? Ninavyofahamu mimi hizo zimewekwa mostly kwa ajili ya wateja wao ambao wako kwenye foleni, just like wanavyoweka kwenye sehemu mbalimbali za biashara (mahoteli, mabaa, mabasi, Maduka n.k) kwa lengo la kuwakeep wateja wao entertained or informed while waiting for the services (ndo customer care coz mteja ni mfalme!!). Mada hapa ilikuwa kuacha kufanya kazi na kukomaa na TV.

Ndugu mleta mada hajasema watoa huduma waache kuangalia TV yeye amesema Kwenye hizo ofisi Hamna TV. halafu Kwenye hizo office kama wateja wanapungua ndio managers au watoa huduma ndio huangalia TV .Kwa baadhi ya kazi TV ni muhimu .Siku hizi hata watu wa reception wanawekewa TV sio MTU anakaa ofisini kama yupo jela.
 
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
Je ni kweli post nyingi na comments nyingi JF zinarushwa siku na saa za kazi Monday to Friday?
 
Wahindi pia hawapo Jeshini, Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza nk. Kwa hiyo hayo Majeshi pia tuyavunje kwa vile hayana Wahindi, ili tujumuike nao tukauze Maduka Kariakoo?.

Katiba isipo patikana kwa Amani, wahindi hao hao wata waachia Mafremu yenu Karikaoo, hao wanaenda zao Kenya. Kwa Taarifa yako, Mhindi hata aishi hapa Nchini Miaka 50, Bado hajui kiswahili fasaha. Na kila Muhindi ana paspot kama sio ya Canada, India, Uingereza basi itakua Marekani.

Hata watoto wao wa kike hawaolewi na Waswahili. Ila vijana wao wakiume wanawasodoma na Gomora Dada zetu Mahause girl katika majumba yao na wanaofanyakazi katika maduka au viwanda vyao kichizi. Kwa bahati Mbaya binti zetu wakibeba mimba zao, huwapa hela waka zitoe, au akibisha akizaa, huyo ni wake. Mtaani wapo tele machotara wakihindi na mama zoa choka mbaya, mpaka ukiwaona unawaonea huruma.

Jews like indians, Hitler like Idd Amin. They all deserved it. Wayahudi walikua wanachukiwa Europe nzima, kama ambavyo Wahindi wanavyo chukiwa Dunia Nzima, kuanzia Uingereza hadi Arabuni. Asili yao ni Matapeli wa kufa mtu. Wakiwa na shida huongea kirafiki sana utafikiri ni binadamu lakini wewe unapokua ndio mwenye shida, utawaramba miguu.

Asili ya Neno Tapeli ni PATEL. Jina la Kihindi.

Mlete uzi hogera sana kitambo kidogo tutajifunza mengi kupitia mada hii. Tayari nijifunza asili ya neno TAPELI
 
Back
Top Bottom