Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Mbulula we ina mana maisha yako unaangalizia kwa wahindi naumeona wahindi tu ndo matajiri. tatizo lako umeingia mjini juzi kutoka kijijini. we hujui siri ya utajiri wa wahindi. mfumo wao umeanzia jamatini. kwa hiyo na wewe acha kuweka Tv hata nyumbaoni kwako uone kama utatajirika ----- we
 
hawa wahindi mimi wameshanistaajabsha hadi basi.. mbona pia huwa hawajiungi na polisi wala jwtz
 
kafanye tena utafiti uje useme kuna waTZ wangapi hawana access na hizo blood ----ing TV na ni maskini wa kutupwa
 
crdb mlimani branch kuna TV,ecobank mnazi mmoja kuna TV,kuna MTU kataja Barclays pia INA maana humo watu hawafanyi kazi.Najua unafahamu banks ni miongoni mwa taasisi ambazo zipo smart kimaamuzi na mambo mengine.

Mkuu umeshawahi kuwaona hao ma bank tellers au mameneja wameacha kuhudumia wateja wao na wanaangalia hizo TV? Ninavyofahamu mimi hizo zimewekwa mostly kwa ajili ya wateja wao ambao wako kwenye foleni, just like wanavyoweka kwenye sehemu mbalimbali za biashara (mahoteli, mabaa, mabasi, Maduka n.k) kwa lengo la kuwakeep wateja wao entertained or informed while waiting for the services (ndo customer care coz mteja ni mfalme!!). Mada hapa ilikuwa kuacha kufanya kazi na kukomaa na TV.
 
Umetoroka hosipitali ipi? Kunywa Maji ukalale ukue.
 

Ndugu mleta mada hajasema watoa huduma waache kuangalia TV yeye amesema Kwenye hizo ofisi Hamna TV. halafu Kwenye hizo office kama wateja wanapungua ndio managers au watoa huduma ndio huangalia TV .Kwa baadhi ya kazi TV ni muhimu .Siku hizi hata watu wa reception wanawekewa TV sio MTU anakaa ofisini kama yupo jela.
 
Je ni kweli post nyingi na comments nyingi JF zinarushwa siku na saa za kazi Monday to Friday?
 

Mlete uzi hogera sana kitambo kidogo tutajifunza mengi kupitia mada hii. Tayari nijifunza asili ya neno TAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…