Wahindi wafurika Israel kuchukua kazi zilizokua zinafanywa na Wapalestina


afu kwene mijadala yao wanatangaza Et makafiri hawa watu n wanafiki
 

Dini ya shetan
 
mbona unalazimisha watu wajae kwene uzi wako wa story za vijiwe vya kahawa
Wewe usielazimisha mbona unaandika na kujijibu mwenyewe uzi mzima?
Au wewe ndio mwenye uzi ila hapa umetumia ID nyingine Mrs Netanyahu wa kinyachusa?
 
Aha kumbe, basi hiyo sawa sana yaani, maana wahindi kule kwao huwa wanapiga mazombi ya hiyo dini sana, tena hawana huruma.
Wataenda kufa kama kuku wenye kideri au hawaoni mziki unaoendelea hapo Gaza.waulize wenzao
 
Wewe sukuma gang usikubali kudanganywa kirahisi namna hiyo hao wanaenda vitani.View attachment 2884441
India Ina wayahudi wengi raia na inao jeshini wengi na Wana vyeo vikubwa tu Jeshi la India na ndio sababu hata vita kati ya Hamas na Israel ilipoanza nchi ya kwanza kuiunga mkono Israel ilikuwa India

Israel Kwa Sasa inapokea wayahudi askari Toka nchi mbalimbali na wao wanaenda kuhami nchi Yao lakini Israel Kwa Sasa Kuna makundi matatu yanayoingia kule

La kwanza wayahudi wanajeshi Toka nchi mbalimbali

La pili Kundi kubwa ni wafanyakazi ambao wanaenda kushika nafasi za kazi zilizokuwa zimeshikwa na wapalestina na raia wa nchi mbalimbali ambao wakiondoka vita ilipoanza


Na Kundi la tatu ni wayahudi watoa misaada wa mashirika ya misaada ya wayahudi walioko nchi mbalimbali Kwa Jeshi na maeneo yaliyoathirika na vita Kwa kuwapa chakula,matibabu nk wako wengi
India inatoa makundi makubwa mawili wayahudi wapiganaji na wafanyakazi

Si kuwa kila anayeenda kule anaenda kupigana

Wanapigania huku kilimo kikiendekea kama kawaida na kazi zikiendelea kama kawaida

Gaza ndiko ambako kazi na kilimo haviendelei kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…