Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
sijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?Mkuu yaani huo umaskini wa tandale unaodhani kwamba ndio kiwango cha mwisho cha umaskini basi hao ni matajiri kwa baadhi ya maeneo ya india.
Maana kuna wahindi kule hawana kiwanja wala kibanda wanalala barabarani kwa kifupi ni homeless
Sasa hao watu homeless wa Marekani,Ufaransa asilimia kubwa ni foreigners ambao walikwenda kujaribu maisha kisha wakafeli kutokana na mfumo walioukuta huko au kutokuwa na vibali vya kuwawezesha kuishi kihalali sio wazawa,lakini maskini wa India ni wazawa kabisa sasa hatuwezi kulinganisha na Ulaya au Marekani ni vitu viwili tofautisijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?
sijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?
kuna watu walizaliwa marekani, ni wazungu wala sio wahamiaji, ila ni homeless. unalijua hilo?Sasa hao watu homeless wa Marekani,Ufaransa asilimia kubwa ni foreigners ambao walikwenda kujaribu maisha kisha wakafeli kutokana na mfumo walioukuta huko au kutokuwa na vibali vya kuwawezesha kuishi kihalali sio wazawa,lakini maskini wa India ni wazawa kabisa sasa hatuwezi kulinganisha na Ulaya au Marekani ni vitu viwili tofauti
Sio kila mzungu unayemuona marekani ni mzawa anaweza akawa ametoka Poland,bulgaria au Italy akasafiri kwenda marekani kutafuta maisha baadae maisha yanagoma akiwa ugenini.kuna watu walizaliwa marekani, ni wazungu wala sio wahamiaji, ila ni homeless. unalijua hilo?
NAKAZIAIndians are overrated.
Especially by Tazanians.
NAKAZIA ZAIDINAKAZIA