Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
sijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?Mkuu yaani huo umaskini wa tandale unaodhani kwamba ndio kiwango cha mwisho cha umaskini basi hao ni matajiri kwa baadhi ya maeneo ya india.
Maana kuna wahindi kule hawana kiwanja wala kibanda wanalala barabarani kwa kifupi ni homeless