Wahindi walioko Tanzania huwapeleka watoto India kwa lazima kujifunza ugumu, ubahili

Mkuu yaani huo umaskini wa tandale unaodhani kwamba ndio kiwango cha mwisho cha umaskini basi hao ni matajiri kwa baadhi ya maeneo ya india.
Maana kuna wahindi kule hawana kiwanja wala kibanda wanalala barabarani kwa kifupi ni homeless
sijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?
 
Sasa hao watu homeless wa Marekani,Ufaransa asilimia kubwa ni foreigners ambao walikwenda kujaribu maisha kisha wakafeli kutokana na mfumo walioukuta huko au kutokuwa na vibali vya kuwawezesha kuishi kihalali sio wazawa,lakini maskini wa India ni wazawa kabisa sasa hatuwezi kulinganisha na Ulaya au Marekani ni vitu viwili tofauti
 
Kuna dem mmoja wa kihindi anasimamia karakana ya mzee wake ni mkali hatar na matusi hapo ndo pake
 
sijajua pengine umesafiri kwenda india peke yake. hivi unajua USA, Ufaransa, Ujerumani, UIngereza na kwengine pia kuna watu ni homeless kabisa hawana pa kulala wanalala barabarani? ndio useme kuna mtu atatoka hapa Tanzania akajifunze umasikini wa ulaya ili akirudi awe na ufahamu wa kitu fulani? ulishawahi kusafiri nje ya india na bangladesh?
 
Sasa hao watu homeless wa Marekani,Ufaransa asilimia kubwa ni foreigners ambao walikwenda kujaribu maisha kisha wakafeli kutokana na mfumo walioukuta huko au kutokuwa na vibali vya kuwawezesha kuishi kihalali sio wazawa,lakini maskini wa India ni wazawa kabisa sasa hatuwezi kulinganisha na Ulaya au Marekani ni vitu viwili tofauti
kuna watu walizaliwa marekani, ni wazungu wala sio wahamiaji, ila ni homeless. unalijua hilo?
 
Sio kila mzungu unayemuona marekani ni mzawa anaweza akawa ametoka Poland,bulgaria au Italy akasafiri kwenda marekani kutafuta maisha baadae maisha yanagoma akiwa ugenini.
 
Back
Top Bottom