Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza kuivuruga sana timu. Kutoka soka la kingereza la Hall hadi soka la Spain kwa makocha wasio na uzoefu Afrika kuna kazi pevu. Je wachezaji wataweza? Mfumo mpya utakuwa na wachezaji wenye kuumudu?..yani hawa makocha ndio wanachukua nafasi ya Stewart Hall?..huko walikotoka walikua makocha wakuu au?,..azam inahitaji kocha mzoefu na soka la africa,tusubiri tuone
yote tisa kumi wanaweza kubadilika ghafla na kushika mbinu mpya ?....#Tusubiri TuoneWanaweza kuivuruga sana timu. Kutoka soka la kingereza la Hall hadi soka la Spain kwa makocha wasio na uzoefu Afrika kuna kazi pevu. Je wachezaji wataweza? Mfumo mpya utakuwa na wachezaji wenye kuumudu?
Hapo hakuna namna. Tusubiri tuone tu. Mpira wa ki Spain unahitaji wachezaji wa aina yake. Wao kazi kubwa ni kumiliki mpira kitu ambacho wachezaji wetu ni tatizo.yote tisa kumi wanaweza kubadilika ghafla na kushika mbinu mpya ?....#Tusubiri Tuone
Hawa makocha nawatabilia kuwa hawatamaliza Msimu ujao wa 2016/2017,.Hapo hakuna namna. Tusubiri tuone tu. Mpira wa ki Spain unahitaji wachezaji wa aina yake. Wao kazi kubwa ni kumiliki mpira kitu ambacho wachezaji wetu ni tatizo.
Huo ndiyo uwezekano mkubwa. Watani zetu wataleta akina Serrunkuma wanne eti. Wanasajili wachezaji ndiyo wataleta kocha!Hawa makocha nawatabilia kuwa hawatamaliza Msimu ujao wa 2016/2017,.
...hizi timu naona zinafanya makusudi,yaani hata kipaumbele vya timu hawajui?Huo ndiyo uwezekano mkubwa. Watani zetu wataleta akina Serrunkuma wanne eti. Wanasajili wachezaji ndiyo wataleta kocha!
kweli kabisa mkuu hawa nawasubiri KAGAME CUP,wakipoteza hilo tu ,wajiandae kukutana na zengwe la waarabuHawa makocha nawatabilia kuwa hawatamaliza Msimu ujao wa 2016/2017,.
mbaya hatuna uvumilivu huo,kama walishindwa kwa makocha wengine kuwavumilia cjui kwa huyu kama wataweza,HISTORIA INAONESHA AZAM NAYO KILA MSIMU KOCHA MPYA..Sijawahi kusikia kocha yeyote kutoka Spain ambaye amefanikiwa kwenye mpira wa Africa..labda huyu awe wa kwanza zaid ya hapo ataondoka mapema sana au wabakie kumvumilia
mbaya hatuna uvumilivu huo,kama walishindwa kwa makocha wengine kuwavumilia cjui kwa huyu kama wataweza,HISTORIA INAONESHA AZAM NAYO KILA MSIMU KOCHA MPYA..
Hamnaaa muanzisha Uzi muongo.... Timu aliyoenda majaribio ni Tenerife IPO daraja LA kwanza ...walipotoka hawa ni deportivio Santa Ursula IPO daraja LA 3....Kwahiyo hao makocha Wametoka Timu Ambayo mchezaji wa azam kaenda majaribio