Wahispaniola watua kuinoa Azam FC , Stewart Hall bye bye

Wahispaniola watua kuinoa Azam FC , Stewart Hall bye bye

Stewart Hall ni msanii tu. Kila wakati analalamikia TFF. Kwa nini aliamua kurudi tena Azam akijua TFF iko pale pale?

Azam walifanya makosa kula matapishi baada ya kumwondoa Omog.
 
..yani hawa makocha ndio wanachukua nafasi ya Stewart Hall?..huko walikotoka walikua makocha wakuu au?,..azam inahitaji kocha mzoefu na soka la africa,tusubiri tuone
Wanaweza kuivuruga sana timu. Kutoka soka la kingereza la Hall hadi soka la Spain kwa makocha wasio na uzoefu Afrika kuna kazi pevu. Je wachezaji wataweza? Mfumo mpya utakuwa na wachezaji wenye kuumudu?
 
yote tisa kumi wanaweza kubadilika ghafla na kushika mbinu mpya ?....#Tusubiri Tuone
 
yote tisa kumi wanaweza kubadilika ghafla na kushika mbinu mpya ?....#Tusubiri Tuone
Hapo hakuna namna. Tusubiri tuone tu. Mpira wa ki Spain unahitaji wachezaji wa aina yake. Wao kazi kubwa ni kumiliki mpira kitu ambacho wachezaji wetu ni tatizo.
 
Hapo hakuna namna. Tusubiri tuone tu. Mpira wa ki Spain unahitaji wachezaji wa aina yake. Wao kazi kubwa ni kumiliki mpira kitu ambacho wachezaji wetu ni tatizo.
Hawa makocha nawatabilia kuwa hawatamaliza Msimu ujao wa 2016/2017,.
 
Sijawahi kusikia kocha yeyote kutoka Spain ambaye amefanikiwa kwenye mpira wa Africa..labda huyu awe wa kwanza zaid ya hapo ataondoka mapema sana au wabakie kumvumilia
 
Huo ndiyo uwezekano mkubwa. Watani zetu wataleta akina Serrunkuma wanne eti. Wanasajili wachezaji ndiyo wataleta kocha!
...hizi timu naona zinafanya makusudi,yaani hata kipaumbele vya timu hawajui?
 
Sijawahi kusikia kocha yeyote kutoka Spain ambaye amefanikiwa kwenye mpira wa Africa..labda huyu awe wa kwanza zaid ya hapo ataondoka mapema sana au wabakie kumvumilia
mbaya hatuna uvumilivu huo,kama walishindwa kwa makocha wengine kuwavumilia cjui kwa huyu kama wataweza,HISTORIA INAONESHA AZAM NAYO KILA MSIMU KOCHA MPYA..
 
mbaya hatuna uvumilivu huo,kama walishindwa kwa makocha wengine kuwavumilia cjui kwa huyu kama wataweza,HISTORIA INAONESHA AZAM NAYO KILA MSIMU KOCHA MPYA..

Watu wanasahau wamiliki,viongozi,mashabiki na wachezaji wa Azam wote ni watanzania wale wale.Pesa bila mipango ni bure
 
hapana wachezaji viwango vya TP Mazembe at least maana hela si wanayo? hawatakiwi kabisa kugombea wachezaji na simba/ yanga

Yaani hata kikosi cha yanga kilikuwa bora kuliko wao

Azam pamoja na uwekezaji wa miundombinu bado hawajaweza kupata matokeo yanayosawiri uwekezaji huo. Kwahiyo kiwango cha wachezaji pamoja na benchi la ufundi lililo na uwezo ni muhimu sana kwao. Ukiangalia, ni kweli kuwa kuna wachezaji wachache tu ndo ambao unaweza ukaona wana kiwango kizuri. Lakini watu wanaobeza juhudi zinazofanywa na wamiliki kuhakikisha kuwa timu inakuwa bora nao hawana nia njema.

Nadhani mafanikio yanahitaji muda. Tunaona hata vilabu vikubwa kama Madrid pamoja na kununua wachezaji wakubwa sana lakini kwa miaka minane wameshinda La Liga mara moja tu. Kwahiyo nadhani uwekezaji unatakiwa kuambatana na masuala mengine ikiwa ni pamoja na uongozi, mipango, benchi la ufundi lililokamilika na wachezaji wazuri. Nakubaliana na changiaji mmoja kuwa Azam wanaonesha mwelekeo mzuri wa kukuza soka la Tanzania na huko mbeleni watakuja kufanikiwa sana Tanzania na nje ya Tanzania
 
Back
Top Bottom