Wahitimu kutoka Mzumbe ndio tegemeo la serikali na mashirika binafsi.

Wahitimu kutoka Mzumbe ndio tegemeo la serikali na mashirika binafsi.

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Nafurahi kusikia kila siku chuo cha Mzumbe kinategewa sana katika idara mbali mbali za serikali na mashirika ya watu binafsi. Kuna tathimini ambazo sio rasmi zinaonesha 71% ya wafanyakazi hapa Tanzania ni matunda ya Mzumbe.

NB: hizo 71% utafiti unazungumzia mambo ya administration na sio ajira zote kiujumla.
 
Utafiti wako huo sijui umefanya wapi hata kama si rasmi.
Yaani hata madaktari, manesi wanatoka muzumbe, acha kujisifia si ndo course za maharage
 
71% ya wafanyakazi?????? Idiot,watu wengine mnapenda kulewa asubuhi na mapema.
 
Siku hizi chuo kimekuwa cha masharobaro tuu...sio Mzumbe ile ya miaka hiyo...
 
Nafurahi kusikia kila siku chuo cha Mzumbe kinategewa sana katika idara mbali mbali za serikali na mashirika ya watu binafsi. Kuna tathimini ambazo sio rasmi zinaonesha 71% ya wafanyakazi hapa Tanzania ni matunda ya Mzumbe.

mkuu naungana na ww kwan ofisin kwetu hapa maadministrtor wote ni wa mzumbe! Kasoro mm tu!
 
Duh, huu utafiti balaa

Hivi Mzumbe inatoa products za fani/cadres zote mpaka iwe na proportion hiyo ya employee??

Kwanza usinichefue, kuna lijamaa juzi tumelifanyia interview lina-MBA ya Mzumbe....hata mtoto wa Diploma aliyepikwa akaiva angemtoa knock - out

Namsikiliza atakayezungumzia IDM.....

Ila utafiti wako ni miongoni mwa maajabu yasiyo rasmi

BTW: Hebu kwanza kaleeni watoto wenu mliowajaza Changarawe.........pumbaf zenu
 
Utafiti wako huo sijui umefanya wapi hata kama si rasmi.
Yaani hata madaktari, manesi wanatoka muzumbe, acha kujisifia si ndo course za maharage

Soma tena status yangu mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom